Waziri Mkuu akitia sahihi kitabu cha
maombolezo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye msiba huo. |
Baadhi ya majenenza ilimowekwa miili ya watu waliofukiwa na machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono, mkoani Arusha
leo.
|
Waziri
Mkuu akipeana mkono na Askari wa Jeshi la
Wananchi (JWTZ), alipotembelea eneo la
tukio, machimbo ya
Moramu katika eneo la Moshono, mkoani Arusha leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitembelea sehemu ya machimbo hayo leo. |
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
alipowasili mkoani Arusha leo,
Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika
machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha,
maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13
na majeruhi
wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine
amelazwa katika Hospitali ya Maunti
meru. (Picha zote na Chris
Mfinanga)
No comments:
Post a Comment