TANGAZO


Wednesday, April 3, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Makamu wa Rais wa BG Group ya Afrika ya Mashariki

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisalimiana na Makamu wa Rais na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni za BG Group ya Afrika Mashariki, Sam Iskander, ofisini kwake, Magogoni, Dar es Salaam leo. Makamu huyo wa Rais, alifuatana na maofisa mbalimbali wa kampuni hizo na pia kufanya mazungumzo ya kikazi na Waziri Mkuu. (Picha zote na Chris Mfinanga)


Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisalimiana na viongozi hao, walipowasili ofisini kwake, Magogoni Dar es Salaam leo. Makamu huyo wa Rais na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni za BG Group ya Afrika Mashariki, Sam Iskander, alifuatana na Maofisa mbalimbali wa kampuni yake na pia kufanya mazungumzo ya kikazi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. 

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akimsikiliza Makamu wa Rais na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni za BG Group ya Afrika Mashariki, Sam Iskander, wakati alipofika ofisini kwake, Magogoni, Dar es Salaam leo na kufanya naye mazungumzo ya kikazi. Makamu huyo wa Rais, alifuatana na maofisa mbalimbali wa kampuni hizo.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akimsikiliza Makamu wa Rais na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni za BG Group ya Afrika Mashariki, Sam Iskander na ujumbe wake, wakati walipofika ofisini kwake, Magogoni, Dar es Salaam leo na kufanya naye mazungumzo ya kikazi. 

Makamu wa Rais na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni za BG Group ya Afrika Mashariki, Sam Iskander, akimweleza jambo Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ofisini kwake, Magogoni, Dar es Salaam leo, wakati Makamu huyo wa Rais, aliyefuatana na Maofisa mbalimbali wa kampuni hizo, alipofika ofisini kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kufanya naye mazungumzo ya kikazi.

No comments:

Post a Comment