Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller wakifanya mazoezi ya kuuchezea mipira kwa ajili kuweza kuuzoea wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho kutwa.
Kocha wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, Robert Lartey (kulia), akiwa na Rais wa timu hiyo, Anthony Beh, wakati wa mazoezi, yaliyofanyika Uwanja wa Karume jijini leo.
Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, wakifanya mazoezi ya kuuzoea mipira wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho kutwa.
Kocha wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, Robert Lartey (wa pili kulia), akiwaonesha mfano wachezaji wa timu hiyo, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho kutwa.
Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, wakikipiga mpira dana dana, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho kutwa.
Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, wakifanya mazoezi ya kukimbia, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho kutwa.
Kocha wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, Robert Lartey (kulia), akiwaonesha mfano wachezaji wa timu hiyo, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho kutwa.
Kocha wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, Robert Lartey (kulia), akiwaonesha mfano wachezaji wa timu hiyo, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni, yaliyofanyika Uwanja wa Karume jijini leo.
Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, wakijifua kwa kufanya mazoezi ya kuruka koni za viunzi, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni Uwanja wa Karume jijini kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa.
Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, wakijifua kwa kufanya mazoezi ya kuruka koni za viunzi, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni, Uwanja wa Karume jijini leo kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo huo wa marudiano.
Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller ya Liberia, wakinyoosha viungo wakati walipokuwa wakijifua, Uwanja wa Karume jijini leo kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo huo wa marudiano.
Wachezaji wa timu ya Barrack Young Controller wakifanya mazoezi ya kucheza mipira, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni kwa ajili ya kuwakabili wapinzania wao, Azam FC ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho kutwa.
No comments:
Post a Comment