Mtuhumiwa wa mauaji
ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara miwili, mjini
Zanzibar, Omar Mussa Makame (35), akiongozwa na Askari Polisi kuingia katika
Mahakama Kuu ya Zanzibar leo, kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili.(Picha zote na Haroub Hussein)
Mtuhumiwa wa Mauaji
ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara miwili mjini
Zanzibar, Omar Mussa Makame (35), akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya
kesi yake kutajwa mahakamani hapo leo.
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35), akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo leo.
Mtuhumiwa wa mauaji
ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara miwili mjini
Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) kulia, akizungumza na mawakili wake, Abdalla
Juma (kushoto) na Rajab Abdalla, muda mfupi baada ya kutajwa kwa kesi yake mahakamani hapo leo.
Mawakili wanaomtetea mtuhumiwa wa mauaji ya Padri, Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara miwili, mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35), wakili Abdalla Juma
(kulia) na Rajab Abdalla, wakipitia majalada kabla ya kutajwa kwa kesi ya mteja
wao huyo, katika Mahakama Kuu ya Vuga, mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment