Pages

Friday, April 19, 2013

Katibu Mkuu Kiongozi akutana na Balozi Uingereza nchini

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diana Melrose aliyemtembelea leo, April 19, 2013, ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili. (Picha zote na Ikulu)

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diana Melrose aliyemtembelea leo, April 19, 2013, ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili. 

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akisalimiana na Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Uingereza (DFID), nchini Elliot Marshall aliyeongozana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diana Melrose (katikati)aliyemtembelea leo, April 19, 2013, ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. Mazungumzo yao yalihusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.

No comments:

Post a Comment