Wanafamilia
ya marehemu, Salim Hemedi Khamisi, Mbunge
wa Chambani wakilia kwa uchungu kutokana na kifo cha
hafla cha Mbunge huyo.
Khamisi (wa pili kulia), Asila Saidi
Zaharani, akili kwa
uchungu baada ya kupewa taarifa ya kifo cha mume
wake.
Spika
wa Bunge, Anne Makinda, akiwafariji viongozi wa
Chama cha wananchi (CUF), kutokana
na kifo cha Mbunge
wao, Salim Hemedi Khamisi, katika Hosptali ya Taifa Muhimbili.
Spika wa Bunge, Anne
Makinda, akimfariji mke wa marehemu
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es
Salaam.
Baadhi ya watoto wa marehemu,
Salim Hemedi Khamisi, wakiwa
na hudhuni kutokana na kifo cha baba yao
mpendwa.
Spika
wa Bunge akiwafariji wanandugu wa marehemu
aliyekuwa Mbunge wa Chambani, Salim Hemedi
Khamis.
Nahodha, akisalimiana na wanafamilia wa marehamu, Salim
Hemedi
Khamis.
No comments:
Post a Comment