Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akifunua pazia ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa awamu ya tatu ya jengo la Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Said Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Moi, Mariam Willmore. (Picha zote Khamis Mussa)
Rais Jakaya Kikwete, akikaribishwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Waandishi wa habari wakiwa kazini katika hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete, akihutubia wakati wa hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia mfano wa majengo yatakayojengwa eneo hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa MOI, Lawrence Museru akimpatia maelezo Rais Jakaya Mrisho Kikwete
No comments:
Post a Comment