Shomari Kapombe wa Simba akijaribu kumzuia Rashid Gumbo wa Mtibwa Sugar, wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni. Katika mchezo huo, Simba ilikubali kichapo cha bao 1-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Amir Matah wa Simba (17), akimtoka Jamal Mnyate wa Mtibwa Sugar katika mchezo huo.
Shomari Kapombe wa Simba akimzuia Rashid Gumbo wa Mtibwa Sugar, wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni.
Rashid Gumbo wa Mtibwa Sugar, akimtoka Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni.
Amir Matah wa Simba (17), akitafuta mbinu ya kumtoka Jamal Mnyate wa Mtibwa Sugar katika mchezo huo.
Haruna Chanongo wa Simba, akimtoka Issa Rashid wa Mtibwa Sugar.
Issa Rashid wa Mtibwa Sugar, akijaribu kuutoa mpira miguuni mwa Haruna Chanongo wa Simba katika mchezo huo.
Haruna Moshi 'Boban' wa Simba, akimtoka Salvatory Mtebe wa Mtibwa Sugar.
Shomari Kapombe wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Issa Rashid wa Mtibwa Sugar katika mchezo huo.
Felix Sunzu wa Simba, akiwania mpira na Vicent Barnabas wa Mtibwa Sugar.
Mashabiki wa Simba, wakifuatilia mchezo kati ya timu yao na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Taifa, leo jioni. Simba ililala kwa bao 1-0, mbele ya timu hiyo.
No comments:
Post a Comment