TANGAZO


Thursday, February 21, 2013

Rais Mwai Kibaki ahitimisha ziara yake nchini Tanzania, arudi nyumbani Kenya

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo, Februari 21, 2013, ziara yake ya Kiserikali nchini, wakisiliza taarifa ya pamoja, ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza mgeni wake, Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya, waliopokuwa wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma, vilipokuwa vikitumbuiza wakati Rais huyo wa Kenya, alipohitimisha leo, Februari 21, 2013, ziara yake ya Kiserikali nchini, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake, Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya, wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma, vilipokuwa vikitumbuiza wakati Rais huyo wa Kenya, alipohitimisha leo, Februari 21, 2013, ziara yake ya Kiserikali nchini, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake, Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya, anayehitimisha leo, Februari 21, 2013, ziara yake ya Kiserikali nchini, wakisimama kupokea heshima wakati nyimbo za Taifa zilipokuwa zikipigwa, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo, Februari 21, 2013, ziara yake ya Kiserikali nchini, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo, Februari 21, 2013, ziara yake ya Kiserikali nchini, akiagana na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilali, aliye pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda pamoja na viongozi wengine, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)


No comments:

Post a Comment