Pages

Saturday, February 9, 2013

Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete awasili Dodoma kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu Taifa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Katibu Mkuu wa chama hicho,  Abdurrahman Kinana, muda mfupi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo, ambapo ataongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. (Picha zote na Freddy Maro)
Kijana wa CCM, akimvika skafu Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, muda mfupi baada ya kuwasili mjini Dodoma kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili mjini Dodoma leo jioni kwa ajili ya kukiongoza kikao cha NEC-CCM. 

No comments:

Post a Comment