TANGAZO


Wednesday, February 6, 2013

Matukio Bungeni Leo


1-wabunge wakielekea katika ukumbi wa Bunge
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,  wakielekea katika mkutano wa kumi,  kikao cha saba leo, mjini Dodoma (Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
2-Ndsamburo (kulia) na  Christowaja  Mtinda (kusho)
Mbunge wa  Moshi mjini, Philemon Ndesamburo akiwa na Christowaja Mtinda (Viti Maalumu), wakielekea katika ukumbi wa Bunge – Dododma leo. 
3-NW wa  maendeleo ya Jamii, jinsia na watoto Ummy Mwalimu akijibu hoja
Naibu Waziri wa Maendeleo ya  Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu, akijibu hoja mbalimbali za Wizara yake Bungeni leo.
4-wanafunzi wa shule ya Independence kutoka dar wakitambulishwa Bungeni
Wanafunzi wa Shule ya Independence, kutoka jijini Dar es Salaam, wakitambulishwa Bungeni leo.
5-waziri wa Fedha William Mgimwa akijibu hoja za Wizra yake.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akijibu hoja ya Amina Mwindau (Viti Malumu-hayupo pichani), kuhusu  Deni la taifa limekuwa likiongezeka kwa kasi kubwa mwaka hadi mwaka na kutaka kujua  Je, Serikali ina mikakati gani ya kukabiliana na deni hilo. (Picha zote na MAELEZO).

No comments:

Post a Comment