TANGAZO

Thursday, February 14, 2013

Jaji Mkuu wa Uganda, Benjamin Odoki, atembelea Tume ya Katiba, jijini Dar es Salaam

Jaji Mkuu wa Uganda, Benjamin Odoki (kushoto), akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Feb. 14 2013, kuhusu uzoefu wake katika uandishi na utekelezaji wa Katiba. Jaji Odoki aliongoza Tume ya Katiba ya Uganda, iliyoundwa mwaka 1989. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba. (Picha zote na Tume ya Katiba)

Jaji Mkuu wa Uganda, Benjamin Odoki (kushoto), akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Feb. 14 2013, kuhusu uzoefu wake katika uandishi na utekelezaji wa Katiba. Jaji Odoki aliongoza Tume ya Katiba ya Uganda, iliyoundwa mwaka 1989. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba.

Jaji Mkuu wa Uganda, Benjamin Odoki (kulia), akiongea na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba katika Ofisi za Tume, jijini Dar es Salaam. Jaji Odoki, ambaye aliongoza Tume ya Katiba ya Uganda, iliyoundwa mwaka 1989, amekutana na Wajumbe wa Tume leo, Alhamisi Feb. 14, 2013 na kuzungumzia uzoefu wake, kuhusu uandishi na utekelezaji wa Katiba Mpya.

Jaji Mkuu wa Uganda Mhe. Benjamin Odoki (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (alhamisi Feb. 14 2013) kuhusu uzoefu wake katika uandishi na utekelezaji wa Katiba. Jaji Odoki aliongoza Tume ya Katiba ya Uganda iliyoundwa mwaka 1989. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba.

Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Assaa Rashid (kushoto), akimkaribisha Jaji Mkuu wa Uganda, Benjamin Odoki (katikati), mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo, jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Feb 14, 2013.  Kulia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume,  Joseph Ndunguru. Jaji Odoki, ambaye aliongoza Tume ya Katiba ya Uganda iliyoundwa mwaka 1989, amekutana na Wajumbe wa Tume na kuzungumzia uzoefu wake kuhusu uandishi na utekelezaji wa Katiba Mpya. 

No comments:

Post a Comment