Baadhi ya wakazi wa Kibamba Darajani, wakishuhudia Lori lililokuwa limebeba mbao, lililopata ajali baada ya kudondokea mtoni na kusababisha kifo cha dereva wake.
Eneo la ajali linavyoonekana kwa mbali.
Wananchi na Askari wa Usalama Barabarani wakiwa eneo la ajali kwa ajili ya kutoa msaada.
| Wananchi wakiangalia ajali hiyo. |
| Lori likiwa limepinduka na tairi zake zikiwa juu. |
Mwili wa dereva aliyefariki katika ajali hiyo, ukiwa umekandamizwa na Lori alilokuwa akiliendesha ambalo lilikuwa limebeba mbao hizo.
Hiki ni kiatu kilichovaliwa na dereva. Hapa mguu wake ukiwa umekandamizwa na gari hilo.
| Basi la Abood likipita kwenye daraja hilo, wakati wa ajali hiyo leo. |
Hivi ndivyo lori lililobeba mbao linavyoonekana baada ya kuanguka chini ya daraja la Kibamba.
| Lori likiwa juu ya mbao baada ya kudondoka darajani, Kibamba. (Picha zote kwa hisani ya Fredy Tony Njeje wa blogszamikoa.com) |

No comments:
Post a Comment