Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dk. James Mwasi Nzagi, akiangalia bidhaa za mjasiriamali wa Tanzania alipotembelea banda la Tanzania jana, tarehe 4/12/2012 kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi.
Maofisa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiwa kwenye banda la Tanzania kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi.
Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara, Viwanda, Posta na Utalii nchini Burundi, Bibi Patricia Rwimo akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Tanzania tarehe 4/12/2012 kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi.
No comments:
Post a Comment