Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amuapisha Jaji Abdulhakim Ameir Issa kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,
akimuapisha Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Abdulhakim Ameir Issa, kuwa
Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.)
No comments:
Post a Comment