TANGAZO


Wednesday, December 26, 2012

Rais Kikwete asherehekea Krismas kwa kuangalia mchuano wa Soka kati ya Hoteli ya Seronera na Four Seasons Mbugani Serengeti

 

Mabingwa wa Kombe la Ujirani, Timu ya Hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi baada ya kuilaza kwa mabao 5-4, Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti, mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Nahodha wa Hoteli ya Seronera, Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwete baada ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti, mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi Nahodha wa timu ya Hoteli ya Seronera, Jamali Kitonga Kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo, kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4  dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na Hoteli ya Seronera katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo, zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Hoteli ya  Seronera kabla ya kucheza na Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti, mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua timu ya Hoteli ya  Seronera  kabla ya kucheza na Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiikagua timu ya Hoteli ya  Seronera kabla ya kucheza na Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment