Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu
wa DHL, Blaise D'sauza, wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la
Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na
nje ya nchi(DHL), baada ya kuzindua rasmi jengo hilo, lililopo Uwanja wa Ndege
wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo
Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Meneja Usimamizi
wa Uingizaji wa Mizigo, Buzegi Kulwa (kulia), wakati alipokuwa akitembelea katika
jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji
wa mizigo ndani na nje ya nchi (DHL), baada ya kuzindua rasmi jengo hilo
lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini
Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Meck Sadiki.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Msimamizi wa
Huduma kwa Wateja upande wa uingizaji wa mizigo, Ebtisam Bobsaith (kushoto),
wakati alipokuwa akitembelea
katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi
(DHL), baada ya kuzindua rasmi jengo hilo
lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba 07, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DHL,
Blaise D'sauza, wa pili kushoto ni Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa Mizigo,
Buzegi Kulwa na wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
- Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza
maelezo wakati akiendelea
kutembelea katika jengo hilo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na
nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi
jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo
Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake
ya uzinduzi jengo
jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi (DHL), wakati wa
hafla fupi ya uzinduzi wa jengo hilo,
iliyofanyika leo Desemba 07, 2012 katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Julius
Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Mkurugenzi Mkuu wa
DHL, Blaise D'sauza,
wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Kampuni ya
Usafirishaji wa Mizigo ndani na nje ya nchi
(DHL), wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Desemba 07, 2012,
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi, Dk.
Harrison Mwakyembe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka
kwa Mkurugenzi Mkuu
wa DHL, Blaise D'sauza, mara baada ya uzinduzi wa jengo jipya la Kampuni ya
usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi (DHL) lililopo
Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba 07, 2012.
Kulia ni Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki. (Picha zote na OMR)
No comments:
Post a Comment