TANGAZO


Monday, December 17, 2012

Jubilee ya miaka 50 ya Shule ya Mbeya Day yafana, zaidi ya sh. milioni 58 zachangwa

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Norman Sigalla katika maandamano ya Jubilee ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Mbeya Day.
Wanafunzi wa shule ya Mbeya Sekondari, wakipiga ngoma kuongoza maandamano hayo ya jubilee ya kutimiza miaka 50 ya shule hiyo.
Mgeni rasmi katika jubilee hiyo, Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC), Nehemia Mchechu akivikwa skafu na mwanafunzi kuashiria kukaribishwa shuleni hapo.
Mgeni rasmi na Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi wakitembelea shule hiyo ya Mbeya Day ilikujionea maendeleo ya shule hiyo, kwani mgeni rasmi na Mbunge walisoma hapo darasa moja.

Hapo mgeni rasmi akioneshwa jinsi ya majengo ya shule hiyo, yalivyo sasa.
Mgeni rasmi katika jubilee hiyo Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akipanda mti kama kumbukumbu ya kufika shuleni hapo.

No comments:

Post a Comment