TANGAZO

Tuesday, November 6, 2012

Wabunge watoa maoni yao kuhusu Katiba mpya

Mbunge wa Nkenge, Assumpta Mshama akitoa maoni yake kwa tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma jana.

Mbunge wa Viti Maalum CCM, Esther Bulaya akitoa maoni yake kwa tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma jana.

Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Bulaya akitoa maoni yake kwa tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma jana.

Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ali Keisy Mohamed akitoa maoni yake kwa
tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa,
mjini Dodoma jana.

Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe akiteta jambo na Naibu wake, Angellah Kairuki katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma, wakati tume ya mabadiliko ya Katiba ilipokuwa ikikusanya maoni ya wabunge jana.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mbunge wa Bunda, Steven Wassira akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mjini Dodoma hivi jana.

Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa kitoa maoni yake kwa tume ya
kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini
Dodoma jana. 

Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa kitoa maoni yake kwa tume ya
kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini
Dodoma jana. 

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje akitoa maoni yake kwa tume ya
kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini
Dodoma jana. 

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiandika maoni yake ya muundo
wa Katiba Mpya wakati Tume ya mabadiliko ya Katiba ilipokutana na wabunge kukusanya maoni yao katika Ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma jana.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akitoa maoni yake kwa tume ya
kukusanya maoni ya Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini
Dodoma jana.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba (katikati), akizungumza na wabunge wakati tume yake ilikutana nao kukusanya maoni yao juu ya Katiba Mpya, mjini Dodoma jana. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani na Spika wa Bunge, Anne Makinda.

No comments:

Post a Comment