Mkurugenzi wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Afrika (WiLDAF), Dk. Judith Odunga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, Dar es Salaam leo. Kulia ni Christina Kamili kutoka shirika la TANLAP na katikati ni Theodosia Muhulo Nshala wa WLAC.
Baadhi ya wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa kazini kuchukuwa matukio katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika mkutano huo. (Picha zote na Francis Dande wa Habari mseto)

No comments:
Post a Comment