TANGAZO


Monday, November 12, 2012

Tume yafanya tathimini ya Awamu ya Tatu ya kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya.

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Fatma Said Ally (kushoto), akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu ya kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi, kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho, kilifanyika leo Jumatatu tarehe 12. Novemba, 2012 katika Makao Makuu ya tume hiyo, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mjumbe mwingine wa Tume hiyo, Mohammed Mshamba.

 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mohammed Mshamba (katikati), akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya kumalizika kwa awamu ya tatu ya kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho kilifanyika leo, Jumatatu tarehe 12. Novemba, 2012 katika Makao Makuu ya tume hiyo, jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume hiyo, Fatma Said Ally (kushoto) na Nassoro Mohammed.

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salama Ahmed (katikati), akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu ya kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho, kilifanyika leo Jumatatu tarehe 12. Novemba, 2012 katika Makao Makuu ya Tume hiyo, jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume hiyo, Esther Mkwizu (kushoto) na Jesca Mkuchu.

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia), akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu ya kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho, kilifanyika leo Jumatatu tarehe 12, Novemba, 2012 katika Makao Makuu ya Tume hiyo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mjumbe wa tume hiyo, Said El- Maamry.

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Omary Mussa (kulia), akizungumza wakati wa kikao cha tathimini ya awamu ya tatu ya kazi ya ukusanyaji maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Kikao hicho, kimefanyika leo Jumatatu tarehe 12, Novemba, 2012 katika Makao Makuu ya Tume hiyo, jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Wajumbe wa Tume hiyo, Simai Said (katikati) na kushoto John Nkolo. (Picha zote na Tume ya Katiba)

No comments:

Post a Comment