TANGAZO


Thursday, November 15, 2012

Travelport yaungana na Precision Air, zaja na huduma mpya kwa wateja

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew akizungumza wakati wa semina ya siku moja kuhusu teknolojia mpya ya kuuza tiketi kwa kutumia simu ya mkononi, iliyofanyika Dar es Salaam leo.  Pia kukuza ushirikiano wa kibiashara na Shirika la Precision Air. Semina hiyo, ilihudhuriwa na mawakala wa mashirika mbalimbali ya ndege jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew akizungumza katika semina hiyo ya siku moja kuhusu teknolojia mpya ya kuuza tiketi kwa kutumia simu ya mkononi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa wataalamu akiwasilisha mada kwenye semina hiyo.
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo, akitaka ufafanuzi kwenye moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa.
 Mwakilishi wa kampuni ya Wakala wa Ndege ya Tan Travel, Paul Walden akichangia mada katika semina hiyo.
Baadhi ya wadau wa semina hiyo, wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa kwenye semina hiyo.
 Wadu wakifuatilia mada
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo, akichangia mada zilizokuwa zimewasilishwa.
Wadau wakiangalia jambo kwenye mtandao wakati wa semina hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Precision Air, walioshiriki semina hiyo, wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew akiwatambulisha baadhi ya wafanyakazi wa wa kampuni hiyo. 
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo, wakisikiliza moja ya mada iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye semina.
 Kaimu Meneja wa Taifa wa Mauzo wa Precision Air, Ibrahim Bukenya akimkabidhi tiketi ya ndege mwakilishi wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Moon Travel, Amina Saleh. (Picha zote na Francis Dande wa Habari Mseto)

No comments:

Post a Comment