TANGAZO


Wednesday, November 28, 2012

Tigo yatoa msaada wa sh.mil. 32 mpango wa damu salama

 

Ofisa Masoko wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Alex Msigara (kulia), akimkabidhi Meneja Programu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk. Efesper Nkya (kushoto), mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 32 za kusaidia uhamasishaji uchangiaji wa damu kwa hiyari kwenye maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika Kitaifa mjini Lindi, Desemba Mosi, mwaka huu. Anayeshuhudia katikati ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda. (Picha na Richard Mwaikenda)
Meneja Masoko wa Tigo, Alex Msigara (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda
Meneja Programu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk. Efesper Nkya (kushoto), akitoa shukurani kwa Kampuni ya Tigo.

Waandishi wa habari wakiwa makini kusikiliza wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment