Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini (BASATA),
Ghonche Materego, akimkabidhi bendera ya Taifa Mrembo wa Tanzania
anaeshikilia taji la Miss Universe Winfrida Dominic, kwenye ofisi za Baraza hilo
jijini Dar es Salaam leo, mrembo huyo anaiwakilisha Tanzania kwenye fainali za
mashindano hayo nchini Marekani yanayotarajiwa kufanyika December 19 mwaka
huu.
|
No comments:
Post a Comment