Rais wa Marekani Barack Obama ameahidi kuendelea kuunga mkono
kwa dhati juhudi za kuleta mabadiliko nchini Burma.
Aidha Obama alikutana na mwanaharakati wa haki za kibinadamu na kiongozi wa upinzani, Aung San Suu Kyi.
Lakini alilaani mapigano ya hivi majuzi kati ya Wasilimu na Wabudhist huko Burma magahribi, na akatoa wito wa kujumuishwa kwa Warohingya, ambao ni Waisilamu, na ambao hawatambuliwi kama raia.
No comments:
Post a Comment