Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia maelfu ya wanachama wa chama hicho wa mkoa wa Dar es salaam, waliomwandalia hafla ya kumpongeza leo Novemba 18, 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini humo.
Wanachama wa CCM, wakicheza ngoma za kundi la Tanzania One Theatre (TOT), wakati lilipotumbuiza katika hafla ya wanachama wa Chama hicho, mkoani Dar es Salaam, waliyomwandalia Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kumpongeza leo Novemba 18, 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini.
No comments:
Post a Comment