Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe (katikati), akijinadi kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kugawa vipeperushi nje ya Ukumbi wa Kisota Dodoma leo. (Picha na wapigapicha mbalimbali)
Waziri asiye kuwa na Wazira Maalumu Profesa Mark Mwandosya (kulia), kisalimiana na wajumbe wa mkutano mkuu nje ya ukumbi wa Kizota.
Waasisi, wazee mashuhuri wa CCM, wakiwa kwenye mkutano huo.
huo
Kada wa CCM, Abdulrahaman Kinana (kushoto), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba (katikati) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho wakiteta jambo wakati wa mkutano huo wa nane.
Wajumbe wa Mutano Muu,wakiimba wimbo wa kumpokea Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete wakati akiingia ukumbini kufungua mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (katikati), akiwasili na Maamu wake, Makamu Mwenyekiti wake, Amani Abeid Karume (kushoto) na Makamu wake mstaafu, Pius Msekwa (Bara), wakati wa kuufungua Mkutano huo Mkuu wa nane wa chama hicho, Kizota Dodoma leo.
Mjane wa hayati Baba wa Taifa, mama Maria Nyerere (kulia), mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Mama Anna Mkapa (katikati) na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (katikati), akiwasili katika ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama hicho leo. Baadhi ya wajumbe ukumbini.
wake wa viongozi wakiwa kwenye mkutano huo.
Waaliwa kutoka kutoka nchi za nje, wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka kwenye mkutano huo.
Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini, wakiwa kwenye mkutano huo.
Wajumbe wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo.







No comments:
Post a Comment