Shaban Maranda na Farijala Hussein, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, baada ya kuhukumiwa kifungo cha kwenda jela, ambapo Maranda amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na Farijala miaka mitatu baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bilion 3.8.
Shaban Maranda na Farijala Hussein, wakipanda karandika la Jeshi la Magereza kwenda kuanza kutumikia vifungo vyao, baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kuwatia hatiani. Maranda amehukumiwa na mahakama hiyo, kifungo cha miaka miwili na Farijala miaka mitatu baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bilion 3.8. (Picha zote kwa hisani ya Habari Mseto Blog)
No comments:
Post a Comment