Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi, wakati alipokuwa akifungua Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika, yaliyofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo Nov 22, 2012. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliohudhuria ufunguzi wa maadhimisho hayo, baada ya ufunguzi rasmi uliofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Kamishna wa Sensa , Hajjat Amina Mrisho Said, wakati akiondoka katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo, Nov 22, 2012 baada ya kuyafungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika.




No comments:
Post a Comment