Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Gharib Bilal, akisoma hotuba yake, wakati wa maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Kimataifa Masaki Dar es Salaam leo, Jumamosi Novemba 17. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Mama Asha Bilal, akiangalia moja ya vitabu vilivyokuwa katika banda la maonesho, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho kwenye maonesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika Viwanja vya Shule ya Kimataifa Masaki leo, Novemba 17.
Mama Asha Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu utengenezaji wa vikapu kutoka kwa mwakilishi wa kikundi cha Women Craft, Edron Mwaku, wakati alipokuwa akitembelea mabanda kwenye maonesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika Viwanja vya Shule ya Kimataifa Masaki leo, Jumamosi Novemba 17.
Mama Asha Gharib Bilal, akivishwa urembo na Miss Tanzania 2008, Nasreen Karim, wakati alipokuwa akitembelea mabanda kwenye maonesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa Masaki leo, Jumamosi Novemba 17.
No comments:
Post a Comment