TANGAZO


Friday, November 23, 2012

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akutana na Balozi wa Korea nchini kwa mazungumzo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung, wakati alipofika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Nov. 23, 2012. (Picha zote na OMR)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung, wakati alipofika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Nov. 23, 2012. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung, mara baada ya mazungumzo yao, yaliyofanyika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 23, 2012.

No comments:

Post a Comment