TANGAZO


Thursday, November 29, 2012

Makamu wa Rais Dk. Bilal aagana na Rais wa Kenya, Mwai Kibaki baada ya ufunguzi wa Ofisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha jana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, mara baada ya ufunguzi wa Jengo la ofisi za Jumuiya hiyo iliyofanyika Jijini Arusha jana, Nove 28, 2012.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsindikiza Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, mara baada ya ufunguzi wa Jengo la ofisi za Jumuiya hiyo iliyofanyika Jijini Arusha jana, Nove 28, 2012.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwaaga wananchi baada ya kumsindikiza Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, mara baada ya ufunguzi wa Jengo la ofisi za Jumuiya hiyo iliyofanyika Jijini Arusha jana, Nove 28, 2012. (Picha zote na OMR)

No comments:

Post a Comment