TANGAZO


Friday, November 16, 2012

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, afanya ziara Baraza la Kiswahili jijini Dar es Salaam leo

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Seith Kamuhanda (katikati), akikagua moja ya majengo ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), alipofanya ziara ya ukaguzi wa Ofisi hizo mpya zilizopo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam leo. Anayemuelekeza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Bakita, Dk. Selemani Sewangi. (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Baadhi ya watumishi wa Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA),  wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Seith Kamuhanda (hayupo pichani), alipofanya ziara ya ukaguzi wa Ofisi hizo mpya, zilizopo maeneo ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Seith Kamuhanda, akizungumza na watumishi wa Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa Ofisi hizo mpya, zilizopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa BAKITA, Dk. Seleman Sewangi na kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni, Profesa Hermas Mwansoko.

No comments:

Post a Comment