TANGAZO


Tuesday, November 20, 2012

Kampuni ya PEMIE Food Catering watoa msaada wa vyakula kwa yatima wa kituo cha Orphanage Magomeni


 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Yatima cha Umri, Rahma Kishumba,  kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam kwa niaba ya watoto yatima wanao lelewa katika  kituo hicho katika makabidhiano yaliyofanyika jana kityuoni hapo. Anaeshuhudia katikati ni Meneja wa Pemie, Fidelis Mgeni.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa watoto yatima wa Kituo cha Yatima cha Umri, Muhaji Yusufu na Sumaiya Ibrahim.Anaeshuhudia kulia ni Rahma Kishumba Mkurugenzi wa Kituo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Yatima cha Umri, Rahma Kishumba,  kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam kwa niaba ya watoto yatima wanao lelewa katika kituo hicho katika makabidhiano yaliyofanyika jana kityuoni hapo. Anaeshuhudia
katikati ni Meneja wa Pemie, Fidelis Mgeni.

No comments:

Post a Comment