TANGAZO


Wednesday, November 14, 2012

Halmashauri Kuu ya CCM yachagua wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC), kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC), kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma leo. 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC), kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma leo. Dk. Ali Mohamed Shein.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC), kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma leo. Kushoto ni Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.

Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dk. Asha-rose Migiro, akitambulishwa, wakati wa kikao hicho.

Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dk. Asha-rose Migiro (kushoto), akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala.

Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dkt Asha-rose Migiro akipongezwa na mke wa Rais, mama Salma Kikwete.

Wadau wakimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mhe. Lameck Madelu Nchemba.

 Picha ya pamoja ya  Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), nje ya Makao Makuu ya CCM Dodoma leo.

Picha ya pamoja ya  Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC) nje ya Makao Makuu ya CCM Dodoma leo. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment