TANGAZO


Sunday, November 25, 2012

Benki ya CRDB yadhamini mafunzo ya mchanganuo wa Biashara kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

Mwakilishi wa Kampuni ya Safari Yetu, Arnold Minde akitoa mafunzo katika semina ya shindano la mchanganuo wa biashara kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu iliyodhaminiwa na benki ya CRDB na kufanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 

Mmoja wa wataalamu wa mafunzo hayo, akitoa mada kuhusu mafunzo ya Ujasiriamali.

Add caption
Mwakilishi wa Kampuni ya KINU, John Baretto Arnold Minde akitoa mafunzo katika semina ya shindano la mchanganuo wa biashara kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu iliyodhaminiwa na benki ya CRDB na kufanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 
Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakiwa katika mafunzo hayo.
 
 
Baadhi ya wanafunzi walipata nafasi ya kuuliza maswali kuhusu mchanganuo wa biashara.
 
 
Baadhi ya wanafunzi wa Elimu ya Juu, wakisikiliza mafunzo hayo yaliyoadhaminiwa na benki ya CRDB jijini leo.
Baadhi ya wanafunzi wa Elimu ya Juu, wakiwa katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na benki ya CRDB.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mkutano huo wa mafunzo.

No comments:

Post a Comment