Watumishi wa Siera Leone na Malawi wawasili nchini Tanzania kujifunza
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Claudia Mpangala (kulia), akiwakaribisha ofisini kwake, wageni kutoka Malawi na Sierra Leone, ambao wako nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi yanayofanywa na Tume ya Utumishi wa Umma.
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Claudia Mpangala (upande wa kulia katikati), akiwa na baadhi ya watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma, akisikiliza maelezo kutoka kwa Geoigiana Kamara (kulia), kuhusu utendaji kazi wa Ofisi ya Rasilimali watu ya Sierra Leone.
Afisa Tawala Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma nchini, Chele Ndaki akitoa maelezo ya namna Tume hiyo, inavyotekeleza majukumu yake kwa wageni kutoka Malawi na Sierra Leone, ambao wako nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi yanayofanywa na Tume ya Utumishi wa Umma. (Picha zote na Aron Msigwa wa Maelezo)
No comments:
Post a Comment