TANGAZO


Friday, September 7, 2012

Waislamu waandamana, wafika Wizara ya Mambo ya Ndani, washinikiza kuachiwa waliokataa kuhesabiwa (Sensa), viongozi wao

Waislamu wakiwa kwenye maandamano yao mtaa wa Samora, jijini Dar es Salaam, wakielekea Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kushinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kupinga kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi, lililofanyika nchini kote, Agost 26, 2012. (Picha zote na Kassim Mbarouk)


Waislamu wakiwa kwenye maandamano hayo, kutoka mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, mara baada ya Swala ya Ijumaa, wakielekea Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kushinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kupinga kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi, lililofanyika nchini kote, Agost 26, 2012. 


Waislamu wakiwa kwenye maandamano hayo, wakitokea kwenye Misikiti mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, mara baada ya Swala ya Ijumaa, wakielekea Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kushinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kupinga kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi, lililofanyika nchini kote, Agost 26, 2012.


Waislamu wakiwa kwenye maandamano hayo, kutoka mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, mara baada ya Swala ya Ijumaa, wakielekea Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kushinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kupinga kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi, lililofanyika nchini kote, Agost 26, 2012.

Waislamu wakiwa nje ya Wizara ya Mambo na Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam, walipofika wakiwa kwenye maandamano yao, kutoka mitaa na Misikiti mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, mara baada ya Swala ya Ijumaa, kushinikiza kuachiwa kwa wenzano waliokamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kupinga kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi, lililofanyika nchini kote, Agost 26, 2012.


 Jeshi la Polisi likiwa tayari kukabiliana na vurugu zozote zitakazoanzishwa na Waislamu hao.


 Waislamu wakiwa nje ya Wizara ya Mambo na Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam, wakiwa wamembeba mmoja wa viongozi wao, walipofika viwanjani hapo leo mchana kwa  maandamano, kutoka mitaa na Misikiti mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, mara baada ya Swala ya Ijumaa, kushinikiza kuachiwa kwa wenzano waliokamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kupinga kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi, lililofanyika nchini kote, Agost 26, 2012.


Waislamu wakiwa wamenyanyua mabango yenye ujumbe mbalimbali kuonesha kuchoshwa kwao na masuala mbalimbali wanayohisi wanaonewa na uongozi wa jeshi la Polisi na taasisi mbalimbali nchini.


Mmoja wa viongozi wa Waislamu waliokuwa wameandamana kuelekea kwenye Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini, jijini Dar es Salaam, akizungumza na waislamu hao nje ya Ofisi hizo leo mchana.


Waislamu wakiwa wameyanyanyua mabango yenye ujumbe mbalimbali kuonesha kuchoshwa kwao na masuala mbalimbali wanayohisi wanaonewa na uongozi wa jeshi la Polisi na taasisi mbalimbali nchini.


Mmoja wa viongozi wa Waislamu waliokuwa wameandamana kuelekea kwenye Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini, jijini Dar es Salaam, akizungumza na waislamu hao nje ya Ofisi hizo leo mchana.


Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akiwasili Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kuzungumza na Waislamu hao, nje ya Ofisi za Jeshi hilo leo mchana.


Kamanda Kova, akielekea kwa waandamanaji waliokusanyika nje ya Ofizi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kuzungumza na Waislamu hao, leo mchana.


Kamanda Kova, akizungumza na waandamanaji hao wa Kiislamu, waliokusanyika nje ya Ofizi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kushinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kupinga kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi, lililofanyika nchini kote, Agost 26, 2012.  


Umati wa Waislamu wakiwa wamekusanyika nje ya Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini leo mchana.


 Kamanda Kova na mwenzake wa usalama wakiteta jambo kwenye mkusanyiko huo wa Waislamu nje ya Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini leo mchana.


 Mmoja wa waandamanaji wa Kiislamu, akipata udhu kwa ajili ya kuswali Swala ya Laasiri nje ya Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini leo mchana.


Waislamu walioandamana, wakiswali Swala ya Laasiri, nje ya Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini leo mchana.

 Mmoja wa viongozi wa Waislamu hao, akiongoza Swala hiyo, nje ya Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini leo mchana.

Waislamu walioandamana, wakiswali Swala ya Laasiri, huku askari Polisi akiwalinda nje ya Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini leo mchana.

Waislamu walioandamana, wakiwa katika Swala hiyo, nje ya Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini leo mchana.


Viongozi wa Waislamu waliokuwa wameandamana kushinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuhesabiwa, wakitoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, walikokwenda kuonana na Uongozi wa Wizara hiyo kwa ajili ya kupata mwafaka wa kuachiwa kwa wenzao hao.


Mmoja wa viongozi wa Waislamu waliokuwa wameandamana na kisha kwenda kuonana na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ajili ya kupata mwafaka wa masuala na madai yao hayo, akizungumza na waumini hao kuwaelezea mafanikio ya mazungumzo yao na uongozi huo. 


Rais wa Umoja wa Vijana na Wanafunzi waKiislamu (TAYMA), Jaffar Mneke akisoma tamko la Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu kuachiwa kwa Waislamu wote, waliowekwa ndani kutokana na kukataa kuhesabiwa wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi nchini. 

No comments:

Post a Comment