TANGAZO


Wednesday, September 5, 2012

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akutana na Balozi Silima Ikulu, mjini Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Haji, aliyefika Ikulu, mjini Zanzibar kujitambulisha leo. 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana  na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Haji, aliyefika Ikulu, mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment