TANGAZO


Saturday, September 8, 2012

Rais Kikwete katika mkutano wa viongozi wa Maziwa Makuu jijini Kampala

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajab Gamaha, wakielekea kwenye mkutano wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda leo, Septemba 8, 2012. (Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda leo Septemba 8, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) na ujumbe wake, wakiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu, wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda leo. Kushoto ni Rais wa Kaguta Museven wa Uganda.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia, mstari wa mbele) na ujumbe wake, wakiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu, wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na  Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda Hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala Septemba 7, 2012. Rais Kikwete amewasili nchini Uganda leo, kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Nchi za Maziwa Makuu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka, aliyemtembelea Hoteli ya Speke Resort, Munyonyo jijini Kampala leo, Septemba 7, 2012, ambako wote wamewasili kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Nchi za Maziwa Makuu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimsindikiza Makamu wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka aliyemtembelea Hoteli ya Speke Resort, Munyonyo jijini Kampala leo, Septemba 7, 2012, ambako wote wamewasili kuhudhuria mkutano wa siku moja wa viongozi wa Nchi za Maziwa Makuu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimsindikiza Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi Hoteli ya Speke Resort, Munyonyo jijini Kampala  Septemba 7, 2012. Rais Kikwete amewasili nchini Uganda leo kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Nchi za Maziwa Makuu.

No comments:

Post a Comment