TANGAZO


Tuesday, September 18, 2012

Rais Kikwete azindua ujenzi wa barabara ya Bagamoyo - Msata


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata uliofanyika katika kijiji cha Kiwangwa, wilayani Bagamoyo leo mchana.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Pwani ambaye pia ni Mkuu  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik (wa pili), Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli (wa nne) na Waziri wa Mazingira,Theresa Hoviza.

 
Sehemu ya Barabara ya Bagamoyo - Msata, iliyojengwa kwa kiwangi cha lami ambayo ujenzi wake umezinduliwa rasmi leo na Rais Kikwete. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment