Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Debnath Shaw, alipofika Ikulu mjini Zanzibar, kujitambulisha kwa Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw, alipofika Ikulu mjini Zanzibar, kujitambulisha kwa Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw, alipofika Ikulu mjini Zanzibar, kujitambulisha kwa Rais leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)


No comments:
Post a Comment