TANGAZO


Thursday, September 6, 2012

Benki ya NMB yashiriki Maonesho ya Makandarasi, yatoa huduma kwa Makandarasi

Ofisa Mahusiano wa Mambo ya Kibenki wa benki ya NMB, Richard Wamboga, akiwapatia vipeperushi wananchi walioetembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya Makandarasi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, uliofanyika Mlimani City, Dar es Salaam leo.

 Mtaalamu wa Bishara za Kimataifa wa benki ya NMB, Ronald Kato, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo nchini, katika maonesho ya Makandarasi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, uliofanyika Mlimani City, Dar es Salaam leo.

Mtaalamu wa Bishara za Kimataifa wa benki ya NMB, Ronald Kato (wa pili kushoto) na Ofisa Mahusiano wa Mambo ya Kibenki, Richard Wamboga (wa tatu), wakiwasikiliza wananchi  waliotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya Makandarasi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, uliofanyika Mlimani City, Dar es Salaam leo.

Mtaalamu wa Bishara za Kimataifa wa benki ya NMB, Ronald Kato, akimpatia maelelezo mwananchi aliyetembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya Makandarasi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, uliofanyika Mlimani City, Dar es Salaam leo. Katikati ni Ofisa Mahusiano wa Mambo ya Kibenki, Richard Wamboga.

 Katibu Mkuu wa Wizara Miundombinu, Hubert Mrango akipatiwa maelezo na Mtalaam wa Bishara za Kimataifa wa benki ya NMB, Ronald Kato, wakati alipotembela banda la benki hiyo katika maonesho ya Makandarasi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara Miundombinu, Hubert Mrango akipatiwa maelezo na Mtalaam wa Bishara za Kimataifa wa benki ya NMB, Ronald Kato, wakati alipotembela banda la benki hiyo katika maonesho ya Makandarasi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, Mlimani City,  Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Profesa Ninatubu Lema. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment