Makamu wa Rais, Dk. Bilal afungua mkutano wa Walimu wa Afrika nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa siku 3 kwa walimu wa nchi za Afrika, unaojadili kuboresha Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo, uliozinduliwa leo, Septemba 10, 2012, unahudhuriwa na wawakilishi wa walimu kutoka nchi saba za Afrika, zinazotumia lugha ya Kiingereza katika ufundishaji.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa siku 3 kwa walimu wa nchi za Afrika unaojadili kuboresha Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo unahudhuriwa na wawakilishi wa walimu kutoka nchi saba za Afrika zinazotumia lugha ya Kiingereza katika ufundishaji.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaaga walimu kutoka nchi za Afrika wanaohudhuria mkutano wa 7 wa ACP, unaojadili kuhusu maboresho ya Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo umefunguliwa leo na Makamu wa Rais na unahudhuriwa na wawakilishi wa walimu kutoka nchi saba za Afrika, hususani zile zinazotumia lugha ya Kiingereza katika ufundishaji.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wawakilishi wa walimu kutoka Kenya, waliohudhuria mkutano wa saba wa ACP, unaojadili kuhusu kuboresha Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi saba za Afrika hasa zile zinazotumia lugha ya Kiingereza, umefunguliwa leo, Septemba 10, 2012 na Makamu wa Rais katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment