TANGAZO


Monday, September 24, 2012

Eugene Fabian aukwa umalkia wa Redd's Miss Lake Zone

 Washiriki wa Shindano la Redds Miss Kanda ya Ziwa wakiwa katika picha ya pamoja
Washiriki wa Shindano la Redds Miss Kanda ya Ziwa wakipozi kwa picha kabla ya kufanyika kwa kinyang'anyiro hicho.
 Mshindi wa Redds Miss Lake zone 2012/13, Eugene Fabian (katikati), kutoka Mara akiwa katika sura ya furaha mara baada ya kuvishwa taji hilo. Kushoto ni mshindi wa Tatu, Happiness Rweyemamu kutoka Shinyanga na Kulia ni mshindi wa pili, Happiness Daniel kutoka Mwanza. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya Ziwa katika shindano la Taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Mshindi wa kwanza ameondoka na kitita cha shilingi Laki 7, mshindi wa pili laki 5 na mshindi wa tatu laki nne na nusu. (Picha kwa Hisani ya Intellectuals Communications Limited)

Mshindi wa Redds Miss Lake zone 2012/13, Eugene Fabian (katikati), kutoka Mara akiwa tabasamu mara baada ya kuvishwa taji hilo. Kushoto ni mshindi wa Tatu, Happiness Rweyemamu kutoka Shinyanga na Kulia ni mshindi wa pili, Happiness Daniel kutoka Mwanza. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya Ziwa katika shindano la Taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment