TANGAZO


Monday, September 3, 2012

Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii yakutana na Rais Dk. Shein, mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kujitambulisha, chini ya Mwenyekiti wake, Dk.Khalid Salum Mohamed (wa pili kulia). [Picha zote na Ramadhan Othman,IKulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha  ya pamoja na wajumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, walipofika Ikulu, mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha chini ya Mwenyekiti wake Dk. Khalid Salum Mohamed (wa nne kushoto).

No comments:

Post a Comment