Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionesha kitabu kiitwacho Lighting Fire, kilichoandikwa na wanasayansi 31, Mabingwa wa Kitanzania wakati akikizindua, ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Tekinolojia, Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo, Agosti 2, 2012. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbarawa na kulia ni Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa, Idris Kikula baada ya kuzindua kitabu kiitwacho Lighting Fire, kilichoandikwa na wanasayansi 31, mabingwa wa Kitanzania, kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Tekinoloji, Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo, Agosti 2, 2012. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Tolly Mbwete.
No comments:
Post a Comment