TANGAZO


Thursday, August 2, 2012

Matukio mbalimbali ya Wabunge Bungeni leo, mjini Dodoma

Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan (kulia) na Mbunge wa Muheza Tanga, Hebert Mtangi wakielekea ndani ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Maofisa wa Bunge, wakifuatilia hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kujadili makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha 2012-2013.


Mbunge Mwingulu Mchemba (kulia), wa Jimbo la Iramba Mashariki, akibadilishana mawazo na Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa, Bungeni leo mjini Dodoma.


Naibu Spika Job Ndugai (kushoto), akimsikilza Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.


Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela, akisisitiza jambo kwa Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto), wakati walipokuwa wakijadili jambo kwenye viwanja vya Bunge, mjini Dodoma leo, wakati wa mapumziko ya kikao cha Bunge. 

No comments:

Post a Comment