Wasanii wa kundi la TMK Wanaume Famili, wakiongozwa na Mh. Temba na Chege, wakilishambulia jukwaa katika tamasha la Familia, siku ya Idd Pili, likishirikisha vinywaji vya Grandmalt,Vita malt na kinywaji kipya cha Maltiza, tamasha lililofanyika kwenye fukwe za Coco Beach, jijini Dar es Salaam jana.
Umati wa watu uliofurika kwenye fukwe za Coco Beach lilikofanyika tamasha hilo, wakifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa na wasanii mbalimbali jana.
Msanii wa miondoko ya Hip Hop, Roma Mkatoliki, akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Familia, siku ya Idd Pili, likishirikisha vinywaji vya Grandmalt, Vita malt na kinywaji kipya cha Maltiza, tamasha lililofanyika kwenye fukwe za Coco Beach jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment