Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, alipofika Ikulu mjini Zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya meli ya Mv. Skagit iliyosababisha baadhi ya wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, alipofika Ikulu mjini Zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya meli ya Mv. Skagit, iliyosababisha baadhi ya wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro, alipofika Ikulu mjini Zanzibar, kumpa pole Rais kutokana na ajali ya meli ya Mv. Skagit, iliyosababisha baadhi ya wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimsindikiza Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro, mara baada ya kumaliza mazungumzo naye, alipofika Ikulu mjini Zanzibar, kumpa pole Rais kutokana na ajali ya meli ya Mv. Skagit, iliyosababisha baadhi ya wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
No comments:
Post a Comment